Je unahitaji Girlfriend ROBOT?jionee hasara na faida za technology

Huko marekani,Carlfonia-based absy imedesign robotics amabao wanaweza kuwa ma-girlfriends,wa watu mbalimbali watakawowahitaji kulingana  na mionekano yao.

 aidha,kwa hali ya kushangaza wanawake wengi wengi wametokea kutuma picha mbali mbali kuomba watengenezewe robotics  zenye kufanya na sura zao,na order mbali mbali zimeshaanza kufanyiwa kazi.

robotics hao wenye uwezo wa kuwa na mood mbalimbali,aibu na pia hata kuonesha wivu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Powered by Live Score & Live Score App
Translate »