English Primier League(EPL),je ndio Ligi ngumu duniani?

Husemwa na watabiri na wachambuzi wengi wa soka ya kuwa ligi kuu ya uingereza ndio ligi ngumu sana kutabiri kuwa nani au timu gani hasa itaibuka mshindi.wengi wa wanaobashiri huvunjika sana moyo na wengine wanao-bet hujikuta wakiamini kuwa watashinda lakini mwisho wa mchezo hali huwa ni tofauti na matarajio yao.

je wewe kwenye matarajio yako unadhani nani ataibuka Champion wa ligi hiyo yenye kupendwa na wengi ulimwenguni kote?

na vipi tabiri zako,je hufanikiwaga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Powered by Live Score & Live Score App
Translate »