Dereva wa limosine,awania Oscar Awards

 muigizaji,muongozaji wa filamua mwenye asili ya somalia Barkad Abdi anawania tuzo muhimu na zenye heshima ya pekee duniani,tuzo za oscar. Alicheza katika sinema yake mwaka ya 2013 filamu  ya Captain Phillips kama abduwali muse, ambayo  ilimtambulisha vema na alipata tuzo mbalimbali filamu katika teuzi tofauti tofauti, ikiwa ni pamoja tuzo ya Academy kwa Muigizaji Bora katika nafasi ya kusaidia, tuzo ya Golden Globe kwa Muigizaji Bora Kusaidia – Motion Picture, na BAFTA Award kwa Muigizaji Bora katika Kusaidia .

alizalia mogadishu,katika umri wa miaka 6 ,vita vilipozuka familia ikakimbilia Yemen,na kwenda missenota marekani,kama ujuavyo ndio sehemu pekee marekani yenye wakazi wengi wenye asili ya somalia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Powered by Live Score & Live Score App
Translate »