Big 4…nani kuingia,heka heka za EPL

BIg 4,ndio stori inayozungumzwa kona mbali mbali ambazo wapenda michezo hukutana  na kuzungumzia msimamo wa ligi ya uingereza.swala la big 4 limekuwa na mjadala mkali huku kila shabiki wa timu pinzani kwa mwenzie akijiapia kushinda na timu yake aipendayo  kutwaa taji ile .

ligi kuu ya uingereza inafaamika kwa kuwa na utabiri hafifu sana wa michezo yake,mchezo marufu wa kamari (betting) umekuwa ukiliza wengi sana kwa kila mcheza kamari kujaribu kubashiri matokeo ya timu za ligi kuu ya uingereza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Powered by Live Score & Live Score App
Translate »