BET AWARD 2017 kura zinaendelea,unatabiri nini?

BET awards ni tunzo maarufu sana duniani,ambazo humilikiwa na kituo cha Tv cha Black Entertiment Televison(BET).Tangu kuanzishwa zimetokea kupendwa na kukubalika kwa wengi kwa shows zake kali na zenye watazamaji wengi sana.hivyo kwa 2017 maandalizi yameanza na tayari kura zinaendelea kupigwa online kwenye tovuti yao.

je unatarajia sessions zitakuwaje safari hii,shows je?nani unamtarajia katika categories tofauti?Host wa show?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Powered by Live Score & Live Score App
Translate »