Antony Joshua aibuka kidedea Heavyweight

Ilikuwa vigumu kutabiri jinsi mashindano haya, mwishowe, mtu mdogo kwa miaka 14 aliweza kupambana na mikono mizito ya bingwa mkubwa wa zamani.Kutoka mwanzo hadi mwisho, vita alikuwa ya kusisimua, ngumu kutokana umahiri ya wawili hao na pia swala kati ya uwezo na uzoefu kuchuana na ujio mpya wa joshua.

kwa rounds 11,joshua aliweza kuibuka kidedea na kuchukua mkanda wa Heavyweight.

Antony Joshua mwenye familia na mtoto mmoja aliweza kumbwaga Wladimir Klitschko katika pambano hilo lililovutia watu wengi katika uwanja wa Nationa Football Stadium,kati ya mabondia hao wawili Antony Joushua mwenye asili ya africa na Wladimir Klitschko mwenye asili ya ukraine

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Powered by Live Score & Live Score App
Translate »