Maajabu ya mtu huyu kutoka India

Shridhar Chillal wa Prune City, Maharashtra, India amekuwa akifuga kucha zake kwa muda wa zaidi ya miaka  62 ambao ni muda mrefu sana kwa kawaida kuweza kutunza kucha hizo za mkono mmoja.
 
sasa zina urefu nyongeza ya cm 909.6 (358.1nch).
 
cha kuvutia zaidi ni urefu wa kucha za kidole gumba chake  cha ajabu cm 197.8ambazo zimejikunja zaidi  mwishoni.

 Alipoulizwa kuhusu jinsi kucha zake kuathiri maisha yake, Shridhar anaelezea kuwa ana kuwa makini sana wakati wa kulala, “Siwezi lala sana, hivyo kila nusu saa  mimi huamka na kubadilisha kulalia  mkono wangu kwa upande wa pili wa kitanda. “
 
 Hata hivyo, anafurahia zikitambuliwa kila mahali aendako na inajivunia: “Mimi kamwe siwezi kusubiri  katika foleni.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Powered by Live Score & Live Score App
Translate »