Ludo,paka mrefu zaidi duniani zaidi ya wa Harry Porter

Ludo,ndio jina la paka  Maine Coon anayeishi na mmiliki wake Kelsey Gill  Wakefield, Uingereza, ni mrefu zaidi ya paka wote wa kufugwa.

ana urefu wa 118.33 cm ( sawa na 3 ft 10.6 ) 

 
Kelsey aliamua kutafuta  Maine Coon baada ya kuvutiwa na paka aina hiyo amabe alionekana katika filamu ya harry potter.
 
Yeye alimpata Ludo akiwa na umri wa wiki 13 tu , na ilikuwa si muda mrefu kabla ya kugundua alikuwa na ukubwa sawa na Maine Coon mwenye umri mkubwa zaidi ya yeye.
 
Ludo ni paka wa kusisimua, lakini kutokana na ukubwa wake  kiasi kwamba Kelsey  humuweka  ludo katika  “carrier” ya mbwa  wakati wao kusafiri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Powered by Live Score & Live Score App
Translate »