Kutana na Lucky Rich kutoka Australia.

Lucky Diamond Rich wa nchini Australia, ambae alizaliwa New Zealand, alitumia zaidi ya  masaa 1,000  kuweza kuufanya mwili wake mwili wake kubadilishwa na mamia ya wasanii wa kuchora tattoo.

Lucky ambae ni mtu kucheza na mauzauza na vingi vya ajabu kama kumeza upanga,kuchezea baiskeli ya tairi moja,n.k

Alianza kwa kuwa na mkusanyiko kamili ya miundo rangi  juu ya mwili wake mzima. Lakini  Lucky amechagua 100% kufunika  mwili wake na wino mweusi, ikiwa ni pamoja na kope, ngozi, nyeti kati ya vidole, chini katika masikio, na hata ufizi wake. !

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Powered by Live Score & Live Score App
Translate »