“ni bahati tu kuwa hai leo”

kijana bondia  mwenye kipaji na uwezo mkubwa katika ndondi  anaelezea akiwa kitandani ya kuwa “ni bahati kuwa hai baada ya kupigwa katika uso wakati wa ugomvi mkali uliozuka  katikati ya jiji Belfast.

Caoimhin Hynes, alipata jeraha la kutisha kufuatia tukio lililotokea wakati wa saa za mwanzo za Jumatatu asubuhi.

Caoimhin Hynes mwenye umri wa miaka 20, ambaye alikuwa na mpenzi wake wakati  anapata shambulio hilo ,alitibiwa katika hospitali na nkufanyiwa upasuaji katika majeraha hayo  siku ya Jumatatu..

Hynes hivi karibuni alishinda dhahabu katika shindano la kifahari Montana pamoja na mikanda ya  mataifa mbalimbali katika mashindano mjini Paris, Ufaransa.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Powered by Live Score & Live Score App
Translate »